Wanafunzi wa chuo kikuu cha sokoine kilichopo maeneo ya morogoro wanategemea kuanza likizo yao ya kuhitimisha semister ya kwanza ya mwaka wa masomo wa 2013/2014. Likizo hiyo ya takribani wiki mbili inatarajia kuanza rasimi tarehe 28/02/2014 mpaka 17/03/2014. Wanafunzi wa kampasi zote mbili za mazimbu na main cumpus zilizopo maeneo tofauti ya mazimbu na msufini wanatarajiwa kuanza kuondoka mapema mara tu baada ya kukamilisha mitihani hiyo. wanafunzi wakiwa kwenye mitihani.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni