mitaa ndo umetulea na kutukuza enzi tukiwa watoto tumekua na mpaka sasa tunajielewa....lakini bado tupo kwenye mitaa hii hii.
Jumatatu, 17 Februari 2014
SOKOINE UNIVERSITY KATIKA MITIHANI YA MWISHO YA SEMISTER
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Sokoine university of agriculture wapo katika kipindi kigumu cha kujiandaa na mitihani yao ya mwisho ya semister katika mwaka wa masomo wa 2013-2014.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni