Hali ya kimaisha kwa wanafunzin wengi wa vyuo vikuu hapa nchini Tanzania imeonekana kuwa ngumu hasa pale pesa ya kujikimu inapokuwa imekata. Kutokana na maisha ya wanachuo wengi kuwa ya utumiaji mbaya hasa pale pesa inapokuwa imeingizwa kwenye akaunti zao. Hali ya kiuchumi inapokuwa mbaya wanafunzi wengi huwa watulivu na huwa serious na masomo yao na hii hupelekea utulivu mkubwa tofauti na kipindi ambacho pesa ipo.
wanachuo wakisikiliza moja ya vipindi katika muda wao wa masomo
weekend ndo muda wa ku-reflesh baada ya masomo ya week nzima.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni