Wanafunzi wa chuo kikuu cha sokoine kilichopo maeneo ya morogoro wanategemea kuanza likizo yao ya kuhitimisha semister ya kwanza ya mwaka wa masomo wa 2013/2014. Likizo hiyo ya takribani wiki mbili inatarajia kuanza rasimi tarehe 28/02/2014 mpaka 17/03/2014. Wanafunzi wa kampasi zote mbili za mazimbu na main cumpus zilizopo maeneo tofauti ya mazimbu na msufini wanatarajiwa kuanza kuondoka mapema mara tu baada ya kukamilisha mitihani hiyo. wanafunzi wakiwa kwenye mitihani.
mitaa ndo umetulea na kutukuza enzi tukiwa watoto tumekua na mpaka sasa tunajielewa....lakini bado tupo kwenye mitaa hii hii.
Jumamosi, 22 Februari 2014
Jumanne, 18 Februari 2014
UGUMU WA MAISHA KWA WANACHUO PESA YA KUJIKIMU INAPOKWISHA
Hali ya kimaisha kwa wanafunzin wengi wa vyuo vikuu hapa nchini Tanzania imeonekana kuwa ngumu hasa pale pesa ya kujikimu inapokuwa imekata. Kutokana na maisha ya wanachuo wengi kuwa ya utumiaji mbaya hasa pale pesa inapokuwa imeingizwa kwenye akaunti zao. Hali ya kiuchumi inapokuwa mbaya wanafunzi wengi huwa watulivu na huwa serious na masomo yao na hii hupelekea utulivu mkubwa tofauti na kipindi ambacho pesa ipo.
wanachuo wakisikiliza moja ya vipindi katika muda wao wa masomo
weekend ndo muda wa ku-reflesh baada ya masomo ya week nzima.
wanachuo wakisikiliza moja ya vipindi katika muda wao wa masomo
weekend ndo muda wa ku-reflesh baada ya masomo ya week nzima.
VITUKO VYA MTAA: MCHAWI WA UNGO ADONDOKA, AGEUKA KUKU...MATUKIO KAT...
LOCAL sights: the magic of UNGO ADONDOKA, thank You for forgiving CHICKEN ... EVENTS KAT ... : Situation of surprises coupled with superstitious beliefs iligubika Arusha City following a woman whose name was not known to collapse and un ...
JUMA NATURE NDANI YA BIFU LA CHINI KWA CHINI NA DIAMOND PLATINUM......:WIMBO WAKE MPYA ALOMSHIRIKISHA LADY JAYDEE AMUITA "DAD MOND"
Juma nature artist aka flea in his new song he gave lately has appeared kumpondea another artist in the same field of bongo flava "Diamond Platinum" aka sugar contestants. The song called "like yesterday" you're talking juma nature inflexibility due to the success of the music is performed ....
![]() |
Ongeza kichwa |
Jumatatu, 17 Februari 2014
SOKOINE UNIVERSITY KATIKA MITIHANI YA MWISHO YA SEMISTER
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Sokoine university of agriculture wapo katika kipindi kigumu cha kujiandaa na mitihani yao ya mwisho ya semister katika mwaka wa masomo wa 2013-2014.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)